πŸ‡ΉπŸ‡Ώ METAVERSE YA TANZANIA Β· BURE

ISHI MAISHA YAKO YA BONGO.

Dar, Zanzibar na Arusha β€” na watu halisi. Chakarika Kariakoo, kula bata 1245, anzisha kampuni Posta, tafuta penzi Coco Beach.

– online sasa
–Wabongo
–viwanja vimeuzwa
57sehemu halisi
↓
01 Β· TIKETI YA KUZALIWA

Umezaliwa USHUANI au USWAZI?

Maswali 6. Kila jibu linaongeza au kupunguza units kwenye mita yako ya LUKU. Ukimaliza, bonyeza PRINT upate tiketi yako.

TANESCOLUKU
MTEJA: β€”0/6
50.0kWh
β—€ USWAZI
USHUANI β–Ά
TOKEN: ____ ____ ____
02 Β· RAMANI

57 SEHEMU HALISI ZA BONGO

Gusa mtaa uone kila sehemu unayoweza kuingia β€” na kazi inayolipa hapo.

03 Β· PANDA NGAZI

MANZESE β†’ MASAKI

Unaanza na TSh 50,000 na chumba cha kupanga Manzese. Chagua kazi, chagua ndoto β€” tunakuhesabia shifti.

KAZI YAKO1/30
04 Β· SIMU

SIMU YAKO NDIO MAISHA YAKO.

Kila kitu kiko ndani ya simu ya mchezo. Gusa app ujaribu.

12:45πŸ“Ά πŸ”‹
05 Β· UCHAGUZI WA KILA WIKI

MKUU WA MKOA WA DAR

Jiandikishe kwa TSh 50,000, bandika bango, omba kura. Mshindi analipwa TSh 500,000 kila wiki na jina lake linaonekana kwa kila mtu.

Kura zinafungwa baada ya β€”
ANAYETAWALA
πŸ‘‘
@β€” Mkuu wa Mkoa wa sasa
πŸ›Ί
MAMA BAJAJI β€œBajaji kila kona, foleni hakuna!”
⚽
KAKA DABI β€œDabi kila Jumamosi, bure uwanjani!”
🦞
SHANGAZI MASAKI β€œLUKU ya bure kwa kila nyumba!”
🫡🏾
WEWE? Gombea wiki hii β†’
06 Β· MAISHA

PENZI, BATA & WAHALA

Gusa kadi uone upande wa pili.

πŸ’ž

PENZI

Swipe, date, uchumba, harusi.

Gusa ↻
  • πŸ’Œ Tuma ombi kwenye app ya Penzi
  • 🍽️ Date Masaki, matembezi Coco Beach
  • πŸ’ Pete, kisha harusi mbele ya washkaji
  • 🏑 Hamia pamoja kwenye nyumba yenu
🍾

BATA

VIP 1245, tip DJ, rusha pesa.

  • πŸ›‹οΈ Meza ya VIP β€” kila mtu anaona uko VIP
  • 🎧 Tip DJ β€” DJ halisi anayefanya shifti anapokea
  • πŸ’Έ Rusha TSh 500k β€” wengine waokote sakafuni
  • 🎢 Bongo Flava halisi kwenye spika
πŸš“

WAHALA

Polisi Oysterbay, dhamana, Mahakama Kisutu.

Gusa ↻
  • 🚨 Umeibiwa? Ripoti Polisi ndani ya simu
  • βš–οΈ Fungua kesi β€” hakimu ni mchezaji au Hakimu wa mfumo
  • πŸŽ™οΈ Toa ushahidi kwa voice note
  • πŸ’° Lipa dhamana au kaa ndani
07 Β· NJE YA DAR

MIJI 3. RAMANI 1.

Chagua unakoenda na usafiri β€” bodi ya kuondoka inajibadilisha.

MAONDOKO Β· DEPARTURES12:45
KWENDAUSAFIRINAULI

08 Β· KWA BIASHARA

BANGO LAKO MJINI.

Mabango 11 β€” Posta, Kariakoo, Coco Beach, Masaki na Daraja la Nyerere. Lipa kwa nTZS, weka picha, ujumbe na link. Kila mchezaji anayepita analiona.

Tangaza Hapa!πŸ“’ Posta CBD

MASWALI

Je, ni bure?

Ndiyo. Kujisajili na kucheza ni bure. Kuongeza salio kwa M-Pesa, Mixx by Yas au Airtel Money ni hiari kabisa.

Nahitaji kudownload app?

Hapana. Bongo Life inafunguka moja kwa moja kwenye browser ya simu (Chrome au Safari). Unaweza kuiweka kwenye home screen kama app.

Inafanya kazi kwenye simu yangu?

Simu nyingi za Android na iPhone za miaka ya karibuni zinaweza. Kama inakwama, chagua Graphics β†’ Chini kwenye Mipangilio.

Naweza kutoa pesa ya mchezo?

Hapana. TSh za ndani ya mchezo ni za burudani tu β€” haziwezi kutolewa, kuuzwa wala kubadilishwa kuwa pesa halisi.

Ni kwa umri gani?

Bongo Life ni kwa watu wenye miaka 18 na kuendelea.

Ni kwa Kiswahili au Kiingereza?

Vyote viwili. Badilisha lugha muda wowote kwa kitufe cha πŸ‡ΉπŸ‡Ώ/πŸ‡¬πŸ‡§.

ADMIT ONE Β· ADMIT ONE Β· ADMIT ONE TIKETI YA KUZALIWA Β· BONGO LIFE MTAA UNAKUSUBIRI. Cheza bure sasa β†’ NΒΊ 000001

Metaverse ya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Bongo Life ni game ya maisha ya Bongo β€” metaverse ya kwanza ya Tanzania. Tembea Kariakoo, Posta na Masaki, panda boti kwenda Zanzibar, nenda safari Arusha, fanya kazi, anzisha kampuni, nunua viwanja na magari, tafuta penzi na kula bata 1245 na washkaji halisi. Ni bure, kwa Kiswahili na Kiingereza, moja kwa moja kwenye simu yako.